We do all kind of African braiding Hair.you can`t compare our price with others...Come and look good to people.Please dont waste your time contact now for booking +32492253601 or +32492223325,our mail is keishaone@ymail.com.
Sunday, April 29, 2012
Monday, April 16, 2012
Sunday, April 15, 2012
BEAUTY GIRL
To become someone you need to do something extra,this picture was before doing changing of hair style.
After two hours later: this is how Azashaplus doing to cute girls.Its cheap and nice.
After two hours later: this is how Azashaplus doing to cute girls.Its cheap and nice.
LOOKING GOOD
Once you do your hair good,you`ll be looking good.Nice girl,nice hair and nice style Waawwoohh....!!!!!
Saturday, April 14, 2012
PROFESSIONAL style
Usukaji wa mtindo kama huu ni mzuri sana na unahitaji muda mwingi katika kuzipanga nywele zikapangika,muangalie huyu bidada jinsi anavyoonekana mrembo zaidi kutokana na utengenezwaji wa kitaalamu toka AzashaPlus Hair.Kupendeza hukufanya kuonekana msichana miaka yote.
SIMPLE STYLE BUT ITS SO NICE
Msuko huu hakuna msichana ambaye atachukukiza,kila msichana anayejaribu kusuka staili hii huonekana nadhifu toka juu mpaka chini.
MWANADADA LAZIMA UJUE JINSI YA KUPENDEZA KWENYE JAMII
Inapendeza sana pale unapogundua staili ya nywele kulingana na sura yako na muonekano wako kwa jamii,usipendelee kuwasikiliza watu kukusifia hali ya kuwa unajihisi kwamba hukupendeza.moja ya staili simple inayokufanya uonekane mzuri na mwenye mvuto.
Kuna wakati sio lazima kwamba usuke nywele zako,unaweza kutengenezwa kwa aina ya mtindo simple kama huo pichani na ukaonekana bomba zaidi,mambo yote ni Azashaplus Hair
Kuna wakati sio lazima kwamba usuke nywele zako,unaweza kutengenezwa kwa aina ya mtindo simple kama huo pichani na ukaonekana bomba zaidi,mambo yote ni Azashaplus Hair
Wednesday, April 4, 2012
MTINDO MZURI WA KUSUKA UKUFANYA UONEKANE MZURI ZAIDI
Urembo wa msichana utokana na muonekano wake tokea juu mpaka chini.moja ya kuvutia kwa mwanamke ni pale anaposuka nywele zake kuendana na kichwa chake na sura yake.ebu angalia huyu bidada jinsi alivyopendeza.
Ususi sio tu kwa wakubwa hata watoto hupendeza kutokana na kuwekwa wasafi na wazazi wao.
Ususi sio tu kwa wakubwa hata watoto hupendeza kutokana na kuwekwa wasafi na wazazi wao.
Tuesday, April 3, 2012
UTENGENEZAJI WA USO NA NYWELE UKUFANYA UONEKANE MREMBO SIKU ZOTE
Mvuto wa mwanamke kuanzia kichwani,Usoni na kwingineko...Ukimtazama huyu dada mtindo aliotengenezwa kichwani huleta mvuto hata kwa wasichana wenzake.siri ya kupendeza ni kuachana na ubahili wa fedha zako.kumbuka unapotoa pesa yako ili upendezeshe kichwa chako unafanya kuonekana kijana miaka yoote.Tafadhali kama wewe ni Msichana au mwanamama unayependa kupendeza piga simu hapo juu ili utengenezwe kichwa chako kwa kusukwa aina yoyote ya staili unayoitaka kwa bei nafuu kabisaa.
Unapokuwa nyumbani kwako na familia yako kama mama mwenye nyumba hupaswi kuonekana upo rafu,pendezesha kichwa chako kwa kutengeneza nywele zako kama huyu mdada hapo pichani aliyejitolea kwenda Azashaplus Hair Salon na kutengeneza nywele zake vyema na kuleta mvuto kwa mumewe na kina dada wenziwe.
Azashaplus Hair Salon inashughulika na ususi mitindo yote kwa watu wa rika zote,vilevile inatoa kipaumbele kwa wateja wake wote na kuwapunguzia bei iliyo sahihi kwa mteja.
Mwanadada hujachelewa kufanya uonekane msichana mwenye mvuto kila kukicha barabarani,fanya kwenda kujionea mwenyewe piga simu iliyo hapo juu ya ukurasa huu sasa.bei ni nafuu sana kulinga na hali ya maisha yetu ilivyokuwa ngumu.

COME AND LOOK MORE BEAUTIFUL
We do all kind of hair braiding style for cheap price.
You`ll appriciate our hospitality once you meet us,come to see how we do our hair style
You`ll appriciate our hospitality once you meet us,come to see how we do our hair style
Subscribe to:
Posts (Atom)