Sunday, April 29, 2012

UREMBO WA NYWELE

 Ukiendelea kupenda nywele zako na utaonekana mrembo zaidi na kupendwa kwa mvuto wa nywele zako.

Sunday, April 15, 2012

BEAUTY GIRL

To become someone you need to do something extra,this picture was before doing changing of hair style.
After two hours later: this is how Azashaplus doing to cute girls.Its cheap and nice.

LOOKING GOOD

Once you do your hair good,you`ll be looking good.Nice girl,nice hair and nice style Waawwoohh....!!!!!

GOOD STYLE FOR GILRS

Nice style for school girls.
She`s Cute

Saturday, April 14, 2012

PROFESSIONAL style

Usukaji wa mtindo kama huu ni mzuri sana na unahitaji muda mwingi katika kuzipanga nywele zikapangika,muangalie huyu bidada jinsi anavyoonekana mrembo zaidi kutokana na utengenezwaji wa kitaalamu toka AzashaPlus Hair.Kupendeza hukufanya kuonekana msichana miaka yote.

SIMPLE STYLE BUT ITS SO NICE

Msuko huu hakuna msichana ambaye atachukukiza,kila msichana anayejaribu kusuka staili hii huonekana nadhifu toka juu mpaka chini.